Tuesday, November 2, 2010

VURUGU ZA UCHAGUZI MWANZA ZALETA HASARA KWA RAIA WEMA

Pichani ni Bwana Jimmy Luhende mmiliki wa gari lililochomwa mwoto katika vurugu za uchaguzi mkoani Mwanza










Gari la Bwana Jimmy Luhende aina ya Land Cruiser lilichomwa moto katika eneo la ofisi za halmashauri ya jiji la Mwanza wakati Bw. Luhende akiwa ndani ya jengo hilo akifanya kazi ya uangalizi na ufuatiliaji wa uchaguzi na kuhesabu kura. Bwana Jimmy Luhende ni mwanaharakati wa masuala ya sera.

4 comments:

  1. sasa tufahamishe kwani huyu jimmy ni nani wa CCM?

    ReplyDelete
  2. Jimmy Luhende ni mfuasi wa chama cha CHADEMA. Kuwepo ndani kwake hakumaanishi yeye ni CCM. Huo ni ufinyu wa kufikiri.

    ReplyDelete
  3. dah it was this bad..next time vitu kama hivi tujitahidi visitokee

    ReplyDelete