Monday, February 14, 2011

Mbadala wa usafiri jijini Mwanza baada ya mabasi madogo maarufu kama DALADALA kugoma kufanya kazi....






Huu ndiyo mbadala wa usafiri kwa abiria jijini Mwanza mara baada ya wamiliki na waendesha magari ya abiria maarufu kama daladala kugoma kufanya kazi ya kubeba abiria wakishinikiza ongezeko la nauli kufika shilingi 300 badala ya 250

Mwanza na usiku wake...



Hapa lazima upoteze kwanza kama dakika kadhaa hivi


Kofia maalumu kwa ajili ya kuendeshea pikipiki ni muhimu sana...
Huyu alipona.

Mjini kazi ipo....


Unaweza ukajiuliza kwanini mjini kuna watu wengi! Jibu unalo hapo...