FAMILIA YA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA ALBINO
NI KATIKA KIJIJI CHA NANDA WILAYA YA BUKOMBE MKOANI SHINYANGA AMBAPO MAMA HUYU NI MKE WA BWANA CHARLES MASANGWA KARAMJI. BWANA CHARLES MASANGWA NA NDUGU YAKE WA KUZALIWA BWANA EMMANUEL MASANGWA WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA BAADA YA KUFANYA MAUAJI YA MLEMAVU WA NGOZI (ALBINO). PICHANI NI MKE WA BWANA CHARLES MASANGWA AMBAYE AMEACHIWA WATOTO SABA, HAO NI WANNE KATI YAO.
Sijakataa sheria kuchukua mkondo wake ila walifikiria familia za hao watu zitaishije wakati nguvu kazi zao hazipo tena?...je jamii itawachukuliaje?
ReplyDelete