STAND NDOGO YA MISUNGWI SIKU ZA WIKI WATOTO WENGI WENYE UMRI HUU WANAKUWA SHULENI WAKISOMA, LAKINI MTOTO HUYU ANAFANYA KAZI YA KURUHUSU MABASI YA ABARIA YANAYOINGIA NA KUTOKA KATIKA STENDI HII YA MABASI. JE, BAADA YA MIAKA 20 TANZANIA ITAKUWA NA WASOMI WA AINA GANI
No comments:
Post a Comment